Kutana na Mama N

Katika harakati za kuwatembelea wahitaji katika Jiji la Dar-es-salaam hivi majuzi mimi na mke wangu tulikutana na ombaomba kadhaa, wengi wao wakiwa hawana chakula wala makazi. Najua kila mmoja wetu ana maoni yake kuhusu ombaomba hawa waliotapakaa  kila kona ya Jiji letu. Wako wanaofikiri kwamba ndugu hao wako mtaani kwa kuwa wanapenda – yaani niContinue reading “Kutana na Mama N”