MBAPPE: SIRI YA USHINDI

Mashindano ya Kombe la dunia 2018 yaliyofanyika nchini Urusi yamekwisha. Kwa kukumbushia tu, timu ya taifa ya Ufaransa ilitwaa kombe kwa ushindi wa magoli 4 dhidi ya 2 ya wa-Croatia. Kylian Mbappe ( umri:miaka19) ni mmoja wa wachezaji walioiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia yao. Baada ya kufungaContinue reading “MBAPPE: SIRI YA USHINDI”