GREATNESS: PRODUCT OF INCONVENIENCE

A wise man once said that the future only belongs to those who have the ability to foresee it and sacrifice the pleasures of the present in order to gain it. As I read through a financial report that Apple (Company) has entered the trillion dollars realm, I was curious to know more about theContinue reading “GREATNESS: PRODUCT OF INCONVENIENCE”

THE TRANSFORMERS

Mungu ana kawaida ya kuwatumia watu wanyonge, wasiokuwa na uzoefu, waliodharauliwa na kutengwa ili kuleta ushindi mkubwa kwa Taifa. Kwa mfano Daudi alikuwa kijana mdogo, aliyedharauliwa na familia yake kwa kuwa alizaliwa nje ya ndoa. Lakini ni Daudi huyu huyu aliyetumiwa na Mungu kumtungua Goliati na kuliletea taifa la Israeli ushindi mkubwa dhidi ya Wafilisti.Continue reading “THE TRANSFORMERS”