UKARIMU VS UTAJIRI

Niliipenda habari ya mtu aliyekuwa anafuatilia mahojiano katika moja ya vituo vya television huko Marekani. Ambapo tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani. Akajibu kuwa hadhani kama yeye ni tajiri namba moja. Akaulizwa anadhani kuna mtu anamzidi? Akajibu “Nadhani yupo mmoja” AkaulizwaContinue reading “UKARIMU VS UTAJIRI”