GANZI YA KANISA

Moja ya matokeo ya kupooza (paralysis) ni kushindwa kuhisi maumivu. Kwamba mwili unashindwa kuhisi maumivu haimaanishi kwamba mwili hauumii. Uharibifu unaweza kuwepo lakini mfumo wa fahamu unaohusika na utambuzi wa uharibifu huo unakuwa na hitilafu. Maumivu sio uharibifu bali ni ishara ya uharibifu. Kuhisi maumivu katika sehemu yoyote ya mwili kunaashiria uharibifu katika sehemu hiyoContinue reading “GANZI YA KANISA”