Natumaini kila mmoja wetu alikuwa na Christmas njema. Sisi kwa upande wetu tulikwenda kumpa Kristo zawadi ya Birthday kwa kula na watu walio karibu sana na moyo wake- wahitaji na wasiojiweza.
Monthly Archives: December 2018
HAPPY BIRTHDAY JESUS
Christimas ni Birthday ya Yesu Kristo, mwaka huu anafikisha miaka 2018. Kama hivyo ndivyo ni vema nifikirie kumpa zawadi itakayo muenzi. Ili kujua ni zawadi gani itafaa kwenye Birthday ya Kristo ni vizuri kumuuliza Roho Mtakatifu anayemjua vizuri zaidi. Nilipomuuliza nikanong’onezwa kwamba Kristo angependa kusherehekea na wasiojiweza, hususan watoto wasiokuwa na makazi. Nilipoonyesha kushangazwa naContinue reading “HAPPY BIRTHDAY JESUS”
WORK4GOOD
WORK FOR GOOD NI NINI? Kampeni ya vijana kujitolea kufanya kazi kwa watu binafsi, mashirika au taasisi. MALENGO YA WORK FOR GOOD Kutunisha mfuko wa Kimbilio – mkakati wa kufuta umasikini na unyanyasaji wa watoto na vijana. Kuwapa vijana , hususan wasio na ajira, fursa, na uzoefu wa kazi na hivyo kuwaongezea uwezo wa kujipatiaContinue reading “WORK4GOOD”