KIMBILIO: MAKAO RASMI

Hatimaye  Kimbilio la vijana  limepata makao rasmi. Kwa neema ya Bwana tumepata madarasa, mabweni, bwalo,jiko ofisi, store, vyoo, mabafu na visima vya maji. Yote haya yamejengwa juu ya kiwanja cha heka 4. Kituo hiki cha Kimbilio kilichoko Mwasonga, Kigamboni Jijini Dar-es-salaam kitatoa huduma za  makazi, afya,elimu, mafunzo, na ushauri katika masuala ya kimaisha, ajira, ujasiriamali,Continue reading “KIMBILIO: MAKAO RASMI”