Antonis Mavropoulos alikuwa na muda mfupi sana wa kuunganisha ndege kwenda Nairobi kutokea Adis Ababa. Kutokana na kupotea mara kadhaa Antonis ambaye ni raia wa Ugiriki aliwasili dakika mbili baada ya muda wa kupanda ndege (check-in time). Kwa kuwa alitakiwa kuwa Nairobi tayari kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa uliopangwa kuanza kesho yake Jumatatu MavropoulosContinue reading “MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO”