Why God allowed war in Ukraine

Why did God allow the war in Ukraine? In this video, Dr Sunday Adelaja – a Nigerian-born Ukranian Pastor who founded arguably the largest Pentecostal church in Europe – is giving his personal perspective about God’s plan for the war in Ukraine. For me, the takeaway points from this message are: Firstly, God allowed thisContinue reading “Why God allowed war in Ukraine”

STRENGTH IN DARK-TIMES

Dark-times are  moments of profound loss and pain. It is one of those times in our life when loved ones, career, finances, health, freedoms and hope  are taken away from us. Dark-moments can be  scary, I know. That is why e  love to hate them, (who doesn’t?) Unfortunately though, as this pandemic has reminded us,Continue reading “STRENGTH IN DARK-TIMES”

MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

Antonis Mavropoulos alikuwa na muda mfupi sana wa kuunganisha ndege kwenda Nairobi kutokea Adis Ababa. Kutokana na kupotea mara kadhaa Antonis ambaye ni raia wa Ugiriki aliwasili dakika mbili baada ya muda wa kupanda ndege (check-in time). Kwa kuwa alitakiwa kuwa Nairobi tayari kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa uliopangwa kuanza kesho yake Jumatatu MavropoulosContinue reading “MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO”

KIMBILIO: MAKAO RASMI

Hatimaye  Kimbilio la vijana  limepata makao rasmi. Kwa neema ya Bwana tumepata madarasa, mabweni, bwalo,jiko ofisi, store, vyoo, mabafu na visima vya maji. Yote haya yamejengwa juu ya kiwanja cha heka 4. Kituo hiki cha Kimbilio kilichoko Mwasonga, Kigamboni Jijini Dar-es-salaam kitatoa huduma za  makazi, afya,elimu, mafunzo, na ushauri katika masuala ya kimaisha, ajira, ujasiriamali,Continue reading “KIMBILIO: MAKAO RASMI”