THE COST OF FAITH

In the words of Pastor Martin Luther King Jr., “There are some things so dear, some things so precious, some things so eternally true, that they are worth dying for…” One way of defining value is usage or benefit. We value something based on how important the benefits are to us. Another way of definingContinue reading “THE COST OF FAITH”

TATIZO LA AJIRA: SHIDA SIO NAFASI ZA AJIRA

Tatito la “ukosefu” wa ajira ni sugu katika jamii yetu. Inakadiriwa kuwa asilimia 12 ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi hawafanyi kazi yoyote. Kutokufanya kazi ni tatizo kubwa zaidi kwa vijana ambao sio tu kwamba ndio wenye nguvu zaidi lakini ni wengi zaidi ya watoto na wazee. Kwa mujibu wa takwimu zilizopo vijana zaidiContinue reading “TATIZO LA AJIRA: SHIDA SIO NAFASI ZA AJIRA”