HESABU BARAKA ZAKO

Juzi juzi nilikuwa napita mtaani nikakutana na wapendwa hawa wakiwa wanapumzika. Kusema ukweli ndugu zetu hawa hapa ndio ‘nyumbani’ kwao – hawana mahali pengine pa kuishi. Baada ya kuwaamsha na kuwasalimia kwa kifupi (sikutaka kuendelea wapotezea muda wao wa mapumziko) niliwapatia salamu zao za upendo kutoka kwa Muumba wao (ambaye pia ni Baba yetu sote!).Continue reading “HESABU BARAKA ZAKO”

We all need grace

Church’s approval rating has never been this low. I believe one of the primary reasons for this is that many (especially non-believers) perceive the Church as a clan of cynic pretenders. People hate to see religious individuals living in denial – publicly professing to be flawless but secretly struggling more or less like everybody else. Continue reading “We all need grace”